KARIBU

tujifunze pamoja jinsi ya kufanya mambo mbalimbali; +255 758100222, tuma maoni, omba mada, dhamini mtando n.k jinsiya.tz@gmail.com

Kuhusu mtandao huu

Jinsi ya ni mtandao wa kiswahili unaokujuza jinsi ya kufanya mambo mbali mbali kwa ufasaha, kwa njia ya video na uandishi wa makala mbalimbali. Tunakukutanisha na wataalamu mbalimbali kutoka Nyanja tofauti na kukupa nafasi ya kuchangia ujuzi wako kwa ulimwengu.


UNAWEZA
*      Kuchangia,
*      Kutoa mada
*      Kuuliza maswali
*      Kuomba mada maalum
*      Au kutangaza katika mtandao huu kwa kupita (comment box) sanduku la maoni kila baada ya post(mada) husika au kwa;


Barua pepe (Email); jinsiya.tz@gmail.com
Simu namba; 0758100222
P.o.box 1464
IRINGA.



                                     KARIBU TUJUZANE, UJUZI NI HAZINA
                                                     MWONGI JAMES
                                                       MKURUGENZI



No comments:

Post a Comment